FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

NB: DK YA 20 SIMBWA .....HAWAJAPIGA SHOOT LOLOTE KWA WAPINZANI[emoji16][emoji16][emoji16]
Ilikuwa ni game plan, Simba wameanza kwa kuwaheshimu sana wapinzani wao, taratibu things will change ..
 
Linapokuja suala la hizi timu zetu kuiwakilisha nchi ningeomba sisi mashabiki tuungane kuzishabikia tuweke kando ukolo na utopolo wetu.
Mimi ni mwananchi kindakindaki naweka kando utopolo naisaport Simba mtani wetu rarua hao holoya kama tunavyokuchakazaga huku.
Usitupangie, unataka tuwaombee wachukue CAF unadhani huku mtaani kutakalika? Si watatupunguzia miaka ya kuishi walivyo na midomo
 
Back
Top Bottom