FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

Ubeki wa Onyango ni ule wa kizamani sana, yani lile style ya kuondosha tu bila kujali umiliki wa mpira. Matokeo yake kila akiondoa anasababisha hatari nyingine.

Hakuna game hapa.
 
Ni Bora Baleke atolewe hana impact yoyote kule mbele.

Kipindi Cha pili asianze
 
Vyura wa JF wana tabia za kufanana na vyura wa matopeni, wote huwa hawaonekani mpaka mvua inyeshe, hawa huku wakisikia Simba Sc kafungwa wanaibuka ...
Mbona kama una hasira? Kwani mpaka muda huu mnaongoza?
 
Mbona kama una hasira? Kwani mpaka muda huu mnaongoza?
Hasira ya nini wakati game iko well managed, stay at 1-0, then wakipoteza concentration kwa uchovu tuanze kuwatafuta kwa counter za maana ..

Haya mambo uto hamuwezi kuyajua kabisaa, kajifunzeni kwanza kuandika terms za mikataba yenu na wachezaji, na mdhamini, kesi kila siku mnatuchosha ..
 
Hii game ni nyepesi sana kwa Simba Sc, tufanye ujinga sisi wenyewe tu.

Kocha akaongee na wachezaji vizuri.
 
Back
Top Bottom