Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Kwa hiyo tuchangie mjadala, au tukae kimya?Hii ligi iliwashinda ... Bora mkae kimya Uto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo tuchangie mjadala, au tukae kimya?Hii ligi iliwashinda ... Bora mkae kimya Uto.
Mbona kiunyonge ivyo brother?Wamefunga bao moja
Haya mambo uto hamuwezi kuyajua kabisaa, kajifunzeni kwanza kuandika terms za mikataba yenu na wachezaji, na mdhamini, kesi kila siku mnatuchosha ..
Maneno mengi! Mwisho wa siku mkiani mwa kundi, kunawahusu.Hasira ya nini wakati game iko well managed, stay at 1-0, then wakipoteza concentration kwa uchovu tuanze kuwatafuta kwa counter za maana ..
Haya mambo uto hamuwezi kuyajua kabisaa, kajifunzeni kwanza kuandika terms za mikataba yenu na wachezaji, na mdhamini, kesi kila siku mnatuchosha ..
Sio lazima kuheshimu wacheze tuIla Simba imewaheshimu sana hawa Horoya
second half mkijifanya kufunguka mnakufa nyingiHii game ni nyepesi sana kwa Simba Sc, tufanye ujinga sisi wenyewe tu.
Kocha akaongee na wachezaji vizuri.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Bocco,nyoni na kibu denis wako wanapasha wanasubri kungia ili wakabadirishe matokeo
Madhara ya kuokoteza wachezaji hawa kina Baleke na Sawadogo yanaanza kuonekanaNi Bora Baleke atolewe hana impact yoyote kule mbele.
Kipindi Cha pili asianze
Simba imetuliaa pira kama ulaya yani.. 😛 😛 😀
Simba wanahitaji utulivu tu....matokeo mazuri yapo.Horoya ikija kwa Mkapa itapigwa mabao mengi
Uchezaji wao haunishawishi kabisa kuwa wao ni bora
Tatizo mkuuMadhara ya kuokoteza wachezaji hawa kina Baleke na Sawadogo yanaanza kuonekana
Lzma mliwe vzr tuTayari wamesomeka hawa .. tutawarudia kimkakati 2nd half