FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

Simba wakisema hii mechi wawe serious wanaweza kutoka hata na ushindi ukiachana na sare

Kwanza hawajapata pressure ya mashambulizi mazito, jambo ambalo likifanywa basi kuna asilimia kubwa wakaanze kupanic

Goli tulilofungwa ni goli ambalo huwezi kulaumu mchezaji yeyote.
 
Manula anadhani ni knock out stage,anapoteza muda tu, kumbe ni kuhesabu points
Yaani utopolo msiojua hata michuano gani mnashiriki ndio wa kumfahamisha Manula aliyecheza CAF miaka nenda rudi kwamba hii sio knock out stage?
 
Yaani utopolo msiojua hata michuano gani mnashiriki ndio wa kumfahamisha Manula aliyecheza CAF miaka nenda rudi kwamba hii sio knock out stage?
Povu kama lote mshachafukwa [emoji28][emoji28]
 
Yaani utopolo msiojua hata michuano gani mnashiriki ndio wa kumfahamisha Manula aliyecheza CAF miaka nenda rudi kwamba hii sio knock out stage?
Angekuwa anajua hilo asingekuwa anapoteza muda first half
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…