FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

Huyu namba 26 tulipewa angalizo mapema kuhusu uwezo wake wa kupiga mipira ya kutenga
 
Ila wakuu Bocco kaisha aiseeh, hata kama ni offside mmeona alivyokuwa anageuka na huo mpira?[emoji23]

Sijui kama tutachomoka leo.
Boco kama boko la wali kaisha ila sijui wanampendeaga nini hawa makocha, hapo Mgunda kamdanganya mzungu aingie kwa kigezo cha ufather na uzoefu wa mashindano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…