Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Hawana kitu na always wanafika robo final club bingwaHoroya hawana kitu mpira wao wakubahatisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana kitu na always wanafika robo final club bingwaHoroya hawana kitu mpira wao wakubahatisha
Simba muoga afungulie busta mechi anashinda hii.Kwahio wote wamekutana pipa na mfuniko
Boco kama boko la wali kaisha ila sijui wanampendeaga nini hawa makocha, hapo Mgunda kamdanganya mzungu aingie kwa kigezo cha ufather na uzoefu wa mashindanoIla wakuu Bocco kaisha aiseeh, hata kama ni offside mmeona alivyokuwa anageuka na huo mpira?[emoji23]
Sijui kama tutachomoka leo.
Chama yupo kwenye form dhidi ya vibonde tu, akiwa mbele ya wanaume kama Aucho, Bangala, Feisal huwa hapumui.Robertinho akimtoa Chama hakuna mtu uwanjani atakayemzomea. Leo hayuko kwenye form.
Akifungulia busta.....asie na mpira atazungusha antena mjini kabisaSimba muoga afungulie busta mechi anashinda hii.
Sijakataa ila kwa leo wa kawaida.Hawana kitu na always wanafika robo final club bingwa
Mpira mmoja tu Kukosa unamtoa LegendBocco sio mchezaji tukubali tu hana msaada wowote kwenye tournament kama hii
TV3Wapi Naangalizia hii mechi Hamna Link?