Walikula za kutosha sanaUsijizime dataView attachment 2513799
Ni lazima tukubali udhaifu wetu kwenye mipira ya kutenga, hatutakiwi kuruhusu kona nyingi golini kwetu wala faulo karibu na eneo letu la hatari.Ohooooo Manula kasevu kishujaa
Niko poa beshte huonekani humu..Ahsante Beshti...
Uko poa?
Baraka hiiNaona wingu zito lisije tuharibia sherehe