Ekyoma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 2,177
- 2,804
Acha keleleKama Simba sc hawatuliza mpira chini, basi tutawekwa goli muda sio mrefu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha keleleKama Simba sc hawatuliza mpira chini, basi tutawekwa goli muda sio mrefu.
Mechi ngumu. Hac wana historia nzuri. Mara mbili robo finali kama sikosei ila Simba ni wazoefu.Hii mechi itaisha Horoya 0-1 Simba
Kwanini game za mkapa haijawahi kuminya nafasi za mashabiki kiasi hiki?Kwa nini CAF wanabana idadi ya mashabiki mpaka leo? Inaua vibe sana
Mdogo kwny nini sasa?? Umeelewa nilikua namaanisha nini? Wingu huku nilipo mvua inataka kunyesha umeme usije katika...simba afungwe aisifungwe tunavuka makundi...Uwezo wenu mdogo tu
Ohooooo Manula kasevu kishujaa
ZBC 2Ni wapi wanaonesha Wakuu?
Azam sport mbona haiko?
Any plug!!!!
Tulia acha mchechetoKipigo kinawahusu
Ahsante Beshti...ZBC 2