OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Labda upite juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda upite juu
Kikundi cha wahuni
Bonge la kikosi na mfumo, hapo kati Horoya wajipange alafu Chama atakuwa free kuanzisha counter za Sakho na Baleke [emoji123]
duh!,Simba wamejaza viungo katili tupu hapo kati.
juu pia hupiti kuna Mzee Kaduguda,Mzee Dalali na Asha Baraka wote damu ya Congo.Labda upite juu
Uwezo wenu mdogo tuNaona wingu zito lisije tuharibia sherehe
Safi, we mtu wa mpira [emoji109]Approach ya kocha wenu kwa game ya leo ni nzuri, ngoja tuone uwanjani.
Waambieni kina Jemima Mrembo wanao jikomba na Simba scNa kuna aliyekuomba uisapoti simba? Maana simba tupo wengi kila kona ya nchi hatuhitaji nyani za utopolo zitupe sapoti .......
Wamejitahidi sana.Hawa Al Hilal training yao hapa Dar imewasaidia sana naona wanakaza huko Bondeni ingawa na Mamelodi wamewakosakosa sana.
Mbona ZBC 2 inaonyesha ndani ya azam?Azam wameanza "samahani" zao mapema kabisa.
Kazi inataka kuwashinda hawa, kwa DSTv wanaonyesha channel gani?
DStv wanaonyesha no 229Azam wameanza "samahani" zao mapema kabisa.
Kazi inataka kuwashinda hawa, kwa DSTv wanaonyesha channel gani?
Kumbe Uto unatufuatilia kwa karibu, unajua kona zote tulipo wanaumeDStv wanaonyesha no 229
Petro de Luanda imetoa droo na Kabylie, Zamalek kakazwa kao. Simba imetupe mzuka hiiHawa Al Hilal training yao hapa Dar imewasaidia sana naona wanakaza huko Bondeni ingawa na Mamelodi wamewakosakosa sana.