bab jesuss
JF-Expert Member
- Sep 19, 2022
- 375
- 689
Naomba nikupe no yangu uta nitumia ya soda after mechNimempa Horoya Ashinde na2+ nimeweka laki2 , Odd ya 3.20
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba nikupe no yangu uta nitumia ya soda after mechNimempa Horoya Ashinde na2+ nimeweka laki2 , Odd ya 3.20
Kipindi Cha kwanza kitatoa picha kamili, natarajia Horoya apate goli mbili kipindi Cha kwanzaNaomba nikupe no yangu uta nitumia ya soda after mech
Huyo hana akili kama yako..Yeye anajitambua na Uzalendo ameuweka mbele zaidi, ni kama alivyosema Mwigulu Bungeni.Mamluki huyu
Never on the Earth kusapot Simba sc wacha wakajifie huko huko hali kadhali na mm Yanga sc acha nikajifie hukohuko Tunisia furaha yangu huwa inaongezeka daima Simba akipoteza mchezo wowote ule,,[emoji41]
Never Bantu Lady kumsapoti Simba sc kwa Hali yoyote labda msiba tu tutakuwa wote kila mtu abebe msalaba wakeBantu Lady uwe kama hivi
Ushabiki wa aina hii uko Tz tuNever on the Earth kusapot Simba sc wacha wakajifie huko huko hali kadhali na mm Yanga sc acha nikajifie hukohuko Tunisia furaha yangu huwa inaongezeka daima Simba akipoteza mchezo wowote ule,,[emoji41]
Narudia never on the Earth kusapot Simba sc........
Period
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kama unajiamini beti kiungo chako, tukifunga tukifanye niniUsiku wa deni hauchelewi,muda wa kushuhudia kipigo cha mbwa koko unakaribia
Na kuna aliyekuomba uisapoti simba? Maana simba tupo wengi kila kona ya nchi hatuhitaji nyani za utopolo zitupe sapoti .......Never on the Earth kusapot Simba sc wacha wakajifie huko huko hali kadhali na mm Yanga sc acha nikajifie hukohuko Tunisia furaha yangu huwa inaongezeka daima Simba akipoteza mchezo wowote ule,,![]()
Narudia never on the Earth kusapot Simba sc........
Period
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Fanya cashout mkuu utanishukuru mimi😋Nimempa Horoya Ashinde na2+ nimeweka laki2 , Odd ya 3.20
Shauri akoKipindi Cha kwanza kitatoa picha kamili, natarajia Horoya apate goli mbili kipindi Cha kwanza