FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

Something tells me things are gonna be alright
 
Hii mechi lolote linares kutokea simba wakitulia wanaweza kushinda hii game
SeMBe wakifanikiwa kushinda leo, Basi ushindi wake si kwa sababu ya ubora. SeMBe wanashinda kwa kuogopwa kutokana na legacy waliyojiwekea miaka michache iliyopita.
Lakini wapinzani wakiondoa woga watapata matokeo wanayo deserve.
"NZI AKIACHA UJINGA ANAWEZA KUTENGENEZA ASALI"
 
Pambaneni na nyie Nyoka huko kwa waarabu msije babuka ngozi kwa baridi
 
Hakika Vipers wametembelea nyota ya simba ya mwaka uleee!! Yaani ilikuwa ni khamsa khamsa kwa kwenda mbele.
Usijizime data
IMG-20200718-WA0002.jpg
 
Back
Top Bottom