FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

Wamefunga bao moja
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Toeni taarifa za kueleweka. Wengine tuko maporini huku. Akina nani wamefunga bao moja? Na hao waliofungwa walikua wanafanya nini mpaka wanabamizwa mapema hivi?
 
Kwenye hizi game za makundi tunaangalia points tu sio idadi ya magoli ya kufunga au kufungwa.

Sasa kama tumepigwa moja tayari, kuna haja gani ya kuendela kubaki nyuma, tunalinda nini?

Simba Sc icheze mpira wa kushambulia, hatuna cha kupoteza/kulinda tena.
 
Gooooolllll kick........Kwa Chama .....off target ya kwanza Kwa makolo
 
Back
Top Bottom