FT: Ihefu FC 0-2 Simba Sc | NBC Premier League | Highland Estates Stadium | 10.04.2023

Nina Wasiwasi na Kikosi Cha Simba. Niwe Muwazi

Ihefu hata uwafunge 20 kwako. Uwanja wake wa Nyumbani sio Wa Kuwadharau.

Yanga walidharau Ihefu wakafa pale. Azam waliwadharau Wakafa pale. Leo simba Mechi muhimu kama Hii anaingia na Kikosi cha Kuwadharau Ihefu kisa Mechi ya Mwisho alishinda 5

Mechi wakiboronga hakuna hata Sub ya Kuingia kubadirisha Matokeo. Viongozi wa Simba Mtuambie kama Hamtaki hili Kombe la Ligi mseme. Sio kwa Ujinga Huu
 
FtWfMJcX0AUUxKd.jpg
 
Una hoja mkuu...
 
Hivi kuna mtu zaidi yangu amewahi kuwaza, kwa nini ratiba ya ligi na ya FA kwa muda mrefu sasa imewekwa Simba anacheza simu moja kabla ya Yanga na si kinyume chake? Hii ina manufaa kwa timu ipi?
Ina manufaa kwa yanga
 
Hivi kuna mtu zaidi yangu amewahi kuwaza, kwa nini ratiba ya ligi na ya FA kwa muda mrefu sasa imewekwa Simba anacheza simu moja kabla ya Yanga na si kinyume chake? Hii ina manufaa kwa timu ipi?

Kutokana na mechi za CAF,, huwa wanaanza Simba zen Yanga
Ili wote wapate muda sawa wa kupumzika basi ktk mashindano ya ndani lazima ianze kucheza Simba afu Yanga
Mfano Simba kacheza 7 April kapumzika siku mbili mpk 10 April anacheza na Ihefu..
Yanga kacheza 8 Aprili atapumzika siku mbili mpk 11 April kucheza na Kagera Sugar…

Next time punguza mihemko [mention]SAYVILLE [/mention]
 
Daah mechi ya kukabidhi ubingwa tena msimu huu Kwa Yanga, inasikitisha sana sisi Simba kucheza Kwa kukamilisha ratiba tu.

Guvu moya 😀
 
Naunga mkono hoja
Majeruhi wengi tuliwapata kwenye mechi ya mwisho

Kisaikolojia ya Derby kuna uwezekano wa kupata majeruhi wengi tena kwenye mechi hii, ukizingatia ni mkoani

Tuna mechi muhimu ya CAF na hatujui hao majeruhi tulionao ni lini wata recover na ni muda gani wataanza ku train kwa ajili ya mashindano hayo
 
Nina Wasiwasi na Kikosi Cha Simba. Niwe Muwazi

Ihefu hata uwafunge 20 kwako. Uwanja wake wa Nyumbani sio Wa Kuwadharau.

Yanga walidharau Ihefu wakafa pale. Azam waliwadharau Wakafa pale. Leo simba Mechi muhimu kama Hii anaingia na Kikosi cha Kuwadharau Ihefu kisa Mechi ya Mwisho alishinda 5

Mechi wakiboronga hakuna hata Sub ya Kuingia kubadirisha Matokeo. Viongozi wa Simba Mtuambie kama Hamtaki hili Kombe la Ligi mseme. Sio kwa Ujinga Huu
Kwahiyo hao sio wachezaji wa simba? Kwahiyo walipwe mishahara ya bure?
 
Back
Top Bottom