FT: Ihefu FC 0-2 Simba Sc | NBC Premier League | Highland Estates Stadium | 10.04.2023

FT: Ihefu FC 0-2 Simba Sc | NBC Premier League | Highland Estates Stadium | 10.04.2023

Simbaa hii Game, kocha kakosea kupanga kikosi.
Yaan sijui hata.
 
Simba tunashambuliwa mnoo, afu huyu mtangazaji vipii nae, km anatoa mipashoo, lol.
 
Nakumbusha ahadi yangu,ntatoa kg 20 za mchele kwa shabiki wa simba aliyepo uwanjani kama tutafungwa leo.
 
Katika Simba mchezaji nisiyemkubali namba moja Gadiel Michael. Sielewi why yuko Simba😩. Na leo goli litatokea upande wake.
 
Kyombo sidhani kama tutaendelea kuwa naye msimu ujao
 
Back
Top Bottom