FT: Ihefu FC 0-2 Simba Sc | NBC Premier League | Highland Estates Stadium | 10.04.2023

FT: Ihefu FC 0-2 Simba Sc | NBC Premier League | Highland Estates Stadium | 10.04.2023

Sawadogo sikumbuki mechi yaje aliyomaliza dakika 90
 
Sakho ndio namuona angalau yupo serious
 
Sawadogo anatoka nje, anaingia Kapama.
Sasa amefanya nn, hawa wote ni wako daraja 1,
Ila simba jaman aaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawadogo ni usajili wa kitaahira sana simba wamefanya,hao ndo wanaomtia hasara mo
 
Sawadogo anatoka nje, anaingia Kapama.
Sasa amefanya nn, hawa wote ni wako daraja 1,
Ila simba jaman aaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Simba hamna timu hapo[emoji382][emoji382]
 
Sawadogo anatoka nje, anaingia Kapama.
Sasa amefanya nn, hawa wote ni wako daraja 1,
Ila simba jaman aaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora kapama ni mzuri kwenye holding,sawadogo hana match fitness kabisa yaani.
 
Onyango, Nyoni, Kyombo ni baadhi ya wachezaji wa kuachana nao tu msimu ujao.
 
Kipaa huyu Ally Salim yuko vizuri sanaa, ameonesha uwezo wake hadi sasa, hata akifungwa tatizo sio yeye, tatizo ni wachezaji wa ndani.
 
Back
Top Bottom