FT: Ihefu FC 0-2 Simba Sc | NBC Premier League | Highland Estates Stadium | 10.04.2023

FT: Ihefu FC 0-2 Simba Sc | NBC Premier League | Highland Estates Stadium | 10.04.2023

Hao wamewekwa kama reserve kwa ajili ya mechi kubwa ya CAF japo Okra nadhani anaweza akawa na sababu nyingine pengine ni match fitness

Ila kwa Phiri ndio sijapata majibu bado

Banda naye sijui mechi hii kwanini hayupo
Ushamba huu
 
Hawa Ihefu wapumbavu sana,hii mechi ilitakiwa wawe wanaongoza mapema tu........
 
Kimahesabu iko hivi, endapo Simba ata droo leo au kupoteza na Yanga atashinda kesho dhidi ya kagera, basi ubingwa utatangazwa jumapili kwenye mechi ya watani
 
Huwezi kumfananisha na Sewa dogo, Pepo utaisikia tu
Najua katika comparison lengo sio kupata aliye bora kwasababu wote tunajua ni wabovu

Ila lengo liwe kujua nani mwenye nafuu.

BTW

Ushaacha kumfanianisha jamaa yako na Chama?
 
Back
Top Bottom