FT: Ihefu FC 0-2 Simba Sc | NBC Premier League | Highland Estates Stadium | 10.04.2023

FT: Ihefu FC 0-2 Simba Sc | NBC Premier League | Highland Estates Stadium | 10.04.2023

Unaelewa mechi hii ikaisha bila Simba kufungwa kwa kikosi hiki, hiyo itaonesha nyingi mliofungwa mkiwa full mkoko ni wabovu zaidi?
Sasa hii itasaidia nini au ndiyo mmewhakata tamaa ya ubingwa? Tupewe kombe letu
 
bin kazumali
1681135328312.jpg
 
Kapama ameni impress kiasi fulani leo. Ana utulivu. Aboreshe utoaji wake wa pasi tu.

Bocco ukiacha umri hana akili ya mpira. Hajawahi kunivutia. Inabidi ajumuishwe kwenye ule uzi wa wasanii wenye majina lakini hawana vipaji.
 
Back
Top Bottom