Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Kwahiyo benchi lote la ufundi halioni kuwa Gadiel amechoka na ana Kadi ya njano kiasi anahitaji sub ya haraka???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka Kwa sauti.... of course mm sijawai kumuelewa John bocco adebayor period!!Kapama ameni impress kiasi fulani leo. Ana utulivu.
Bocco ukiacha umri hana akili ya mpira. Hajawahi kunivutia. Inabidi ajumuishwe kwenye ule uzi wa wasanii wenye majina lakini hawana vipaji.
Anabutua sanaUto, huyo Yacouba mliyekuwa mnamlilia juzi mnamuona leo?
Anabo mnooo yaan,Sana anatangaza kama enzi za miaka ya 80 huko hauna tv
Siweziiiii
Sakho anapiga....anapaisha66' Simba wanapata faulo nje ya 18
Tapeli huyubin kazumaliView attachment 2583384
Mimi mechi za CAF siwasikilizagi hawa watangazaji wa kibongo. Juzi kuna mtangazaji alikuwa hajui Morrison yuko benchi hadi camera ilipomuonyesha. Yuko "kumbe Morrison yuko benchi leo?"Anabo mnooo yaan,
Mkubwa bado unaamini Simba anaweza chukua hili kombe? Kweli mapenzi upofuNina Wasiwasi na Kikosi Cha Simba. Niwe Muwazi
Ihefu hata uwafunge 20 kwako. Uwanja wake wa Nyumbani sio Wa Kuwadharau.
Yanga walidharau Ihefu wakafa pale. Azam waliwadharau Wakafa pale. Leo simba Mechi muhimu kama Hii anaingia na Kikosi cha Kuwadharau Ihefu kisa Mechi ya Mwisho alishinda 5
Mechi wakiboronga hakuna hata Sub ya Kuingia kubadirisha Matokeo. Viongozi wa Simba Mtuambie kama Hamtaki hili Kombe la Ligi mseme. Sio kwa Ujinga Huu