FT: Ihefu FC 0-2 Simba Sc | NBC Premier League | Highland Estates Stadium | 10.04.2023

FT: Ihefu FC 0-2 Simba Sc | NBC Premier League | Highland Estates Stadium | 10.04.2023

Kapama ameni impress kiasi fulani leo. Ana utulivu.

Bocco ukiacha umri hana akili ya mpira. Hajawahi kunivutia. Inabidi ajumuishwe kwenye ule uzi wa wasanii wenye majina lakini hawana vipaji.
Nimecheka Kwa sauti.... of course mm sijawai kumuelewa John bocco adebayor period!!
 
Nina Wasiwasi na Kikosi Cha Simba. Niwe Muwazi

Ihefu hata uwafunge 20 kwako. Uwanja wake wa Nyumbani sio Wa Kuwadharau.

Yanga walidharau Ihefu wakafa pale. Azam waliwadharau Wakafa pale. Leo simba Mechi muhimu kama Hii anaingia na Kikosi cha Kuwadharau Ihefu kisa Mechi ya Mwisho alishinda 5

Mechi wakiboronga hakuna hata Sub ya Kuingia kubadirisha Matokeo. Viongozi wa Simba Mtuambie kama Hamtaki hili Kombe la Ligi mseme. Sio kwa Ujinga Huu
Mkubwa bado unaamini Simba anaweza chukua hili kombe? Kweli mapenzi upofu
 
Back
Top Bottom