FT: Ihefu FC 0-2 Simba Sc | NBC Premier League | Highland Estates Stadium | 10.04.2023

FT: Ihefu FC 0-2 Simba Sc | NBC Premier League | Highland Estates Stadium | 10.04.2023

Nina Wasiwasi na Kikosi Cha Simba. Niwe Muwazi

Ihefu hata uwafunge 20 kwako. Uwanja wake wa Nyumbani sio Wa Kuwadharau.

Yanga walidharau Ihefu wakafa pale. Azam waliwadharau Wakafa pale. Leo simba Mechi muhimu kama Hii anaingia na Kikosi cha Kuwadharau Ihefu kisa Mechi ya Mwisho alishinda 5

Mechi wakiboronga hakuna hata Sub ya Kuingia kubadirisha Matokeo. Viongozi wa Simba Mtuambie kama Hamtaki hili Kombe la Ligi mseme. Sio kwa Ujinga Huu
Alaaaaaa
 
Hivi kuna mtu zaidi yangu amewahi kuwaza, kwa nini ratiba ya ligi na ya FA kwa muda mrefu sasa imewekwa Simba anacheza simu moja kabla ya Yanga na si kinyume chake? Hii ina manufaa kwa timu ipi?
Ina manufaa KWA Yanga ili ajipange kupata ushindi. Anakuwa anajua kasi ya Simba na kujipanga.

Mkiti wa bodi ya ligi Ni Yanga Lia Lia yule Mzee.
 
Kutokana na mechi za CAF,, huwa wanaanza Simba zen Yanga
Ili wote wapate muda sawa wa kupumzika basi ktk mashindano ya ndani lazima ianze kucheza Simba afu Yanga
Mfano Simba kacheza 7 April kapumzika siku mbili mpk 10 April anacheza na Ihefu..
Yanga kacheza 8 Aprili atapumzika siku mbili mpk 11 April kucheza na Kagera Sugar…

Next time punguza mihemko [mention]SAYVILLE [/mention]
Si kweli unaongea vitu usivyovijua.

Kila wiki Kuna mechi za CAF.

Ratiba ya kuibeba Yanga. Siyo bahati mbaya.
 
Lakini Yacouba alikuwa bora sana ila yule dogo aliyesimama pale golini alikuwa jini
Mashuti mengi ni off target first half,ni ile diving header tu ndiyo ilikuwa hatari.....ila Golikipa namba tatu yule ni hazina Kwa Taifa asipotezwe
 
Si kweli unaongea vitu usivyovijua.

Kila wiki Kuna mechi za CAF.

Ratiba ya kuibeba Yanga. Siyo bahati mbaya.
Jamaa alichokisema ni sahihi. Kabla ya michuano ya ya CAF hatua ya makundi kuanza, Timu ya Yanga ilikuwa ndio inatanggulia kucheza michezo yake kisha siku inayofuata ndio Simba inacheza. Na michezo mingi alikuwa anatangulia Yanga ila ratiba imekuja kubadilika kutokana na ratiba ya CAF inaanza kucheza CAFCL kisha siku inafuata CAFCC hivyo Simba ikabidi itangulie kucheza michezo yake ya ndani kisha ifatie Yanga ili timu zote ziwe na gap sawa ya muda wa mapumziko.
IMG_20230410_221817.jpg
View attachment 2583780View attachment 2583781
 
Back
Top Bottom