Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Short and clear. Hakuna kuchoshanaDah kapiga 2 leo
Na goli la video
N:B kumbe yu kwa mkopo simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Short and clear. Hakuna kuchoshanaDah kapiga 2 leo
Na goli la video
N:B kumbe yu kwa mkopo simba
Migoli ya somasoti unaita papatu. Hater ni ugonjwa.mbayasimba bado hiki si kipimo chetu sahihi haya magoli ya papatupapatu yasitulemaze
Ifike hatua TFF ichukue hatua, huu mchezo refa ameibeba Simba waziwazi
Kubeti kazi wewe! Na usikute mtu alipoona dakika zimebaki kumi na hakuna dalili za over 1.5 aka-cash out ili aambulie hata 800 ya kahawa.Wale waliober Over 1.5 hawaamini Kama mechi inaelrkea ukingoni,hiyo hela bora wangemalizia sikukuu.
Dah! kubet bhana.
Unaumia ukiwa pande zipi?Ila huyu mwamuzi kwa kumuangalia mechi hizi mbili zilizopita nadhani TFF wamuangalie upya. Yaani wachezaji wa timu mbili wanavutana mashati, yeye anasogea pembeni anaweka mikono nyuma anasubiri zari liishe. Hivyo ndiyo refa anatakiwa afanye kwenye situation kama hizo?
Ushindi Kwa hisani ya refa
Sijasema kuna timu imependelewa. Nimesema siyo refa mzuri.Unaumia ukiwa pande zipi?
Simba haiwezekani ifungwe na Ihefu asee..
Kwanza tulifika Mbeya kabla yao wakati wao ndiyo wenyeji.Simba haiwezekani ifungwe na Ihefu asee..
Hiki siyo kikosi kitakachocheza na Wydad!! Je ulimwona Manula?, Inonga?, Mwamba wa Lusaka? nk?Sijaona timu ya kutoa droo na Wydad hapa
Dogo ni jina lako au la baba akoNakuona dogo uko na baba ako umelalia mabega yake unalia