FT: Ihefu FC 0-2 Simba Sc | NBC Premier League | Highland Estates Stadium | 10.04.2023

FT: Ihefu FC 0-2 Simba Sc | NBC Premier League | Highland Estates Stadium | 10.04.2023

Simba inazidi kufanya kinyume na matarajio ya wengi....hii game kuna mcha~mbuzi mmoja alisema itaisha kwa Simba kufungwa 2:1
20230409_151755.jpg
 
Hivi baleke ana goli ngapi wana lunyasi wenzangu utoporo hayawahusu so msijibu
 
Pia alizingua match ya yanga na geita gold Azam federation
Ila huyu mwamuzi kwa kumuangalia mechi hizi mbili zilizopita nadhani TFF wamuangalie upya. Yaani wachezaji wa timu mbili wanavutana mashati, yeye anasogea pembeni anaweka mikono nyuma anasubiri zari liishe. Hivyo ndiyo refa anatakiwa afanye kwenye situation kama hizo?
 
simba bado hiki si kipimo chetu sahihi haya magoli ya papatupapatu yasitulemaze
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom