Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Haya 😁Hii timu ilivyo mbovu tar 16 tukiwapiga 2 nitasikitika sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya 😁Hii timu ilivyo mbovu tar 16 tukiwapiga 2 nitasikitika sana
Tena kwa kikosi ambacho ni full mkokoRekodi zinasema uwanja huu huu kuna jitu lililala...haya leo tumewasaidia kulipa kisasiView attachment 2583423
Rekodi zinasema uwanja huu huu kuna jitu lililala...haya leo tumewasaidia kulipa kisasiView attachment 2583423
Tate Mkuu unachokozwa hukuRekodi zinasema uwanja huu huu kuna jitu lililala...haya leo tumewasaidia kulipa kisasiView attachment 2583423
Hamna, amekuwa vizuri sana siku hizi. Anajitoa sana, anapiga maasist ya kutosha. Hatumdai kitu.Homa za vipindi
Kwani huyu Baleke anatabiriwa au anatimiza unabii?We jamaa mara hii tu[emoji16].
Umeshasahau kibu denis ulimtabiria hivi hivi.
Nothing personal.[emoji28]FT' Ihefu & Yanga 0-2 Simba
Tukutane kwa Mkapa jumapili saa 11:00 jioni
Maumivu per day,kunywa panadol tu mkuu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]maninerAs it stands.View attachment 2583428
😂😂😂🤣🤣😂😂Alipigwa Surrat~Zubaa Akatoka Hoi Sana SanaRekodi zinasema uwanja huu huu kuna jitu lililala...haya leo tumewasaidia kulipa kisasiView attachment 2583423
Hamna mkuu nimekumbusha tu msimamo.Maumivu per day,kunywa panadol tu mkuu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]maniner
Liwalooo na liweeeNina Wasiwasi na Kikosi Cha Simba. Niwe Muwazi
Ihefu hata uwafunge 20 kwako. Uwanja wake wa Nyumbani sio Wa Kuwadharau.
Yanga walidharau Ihefu wakafa pale. Azam waliwadharau Wakafa pale. Leo simba Mechi muhimu kama Hii anaingia na Kikosi cha Kuwadharau Ihefu kisa Mechi ya Mwisho alishinda 5
Mechi wakiboronga hakuna hata Sub ya Kuingia kubadirisha Matokeo. Viongozi wa Simba Mtuambie kama Hamtaki hili Kombe la Ligi mseme. Sio kwa Ujinga Huu