FT: Ihefu FC 0-2 Simba Sc | NBC Premier League | Highland Estates Stadium | 10.04.2023

FT: Ihefu FC 0-2 Simba Sc | NBC Premier League | Highland Estates Stadium | 10.04.2023

Attachments

  • Screenshot_20230410-065223.png
    Screenshot_20230410-065223.png
    120.6 KB · Views: 1
[emoji11][emoji11][emoji11][emoji10] ihefu ni timu choma[emoji9][emoji9][emoji9]
 
Nina Wasiwasi na Kikosi Cha Simba. Niwe Muwazi

Ihefu hata uwafunge 20 kwako. Uwanja wake wa Nyumbani sio Wa Kuwadharau.

Yanga walidharau Ihefu wakafa pale. Azam waliwadharau Wakafa pale. Leo simba Mechi muhimu kama Hii anaingia na Kikosi cha Kuwadharau Ihefu kisa Mechi ya Mwisho alishinda 5

Mechi wakiboronga hakuna hata Sub ya Kuingia kubadirisha Matokeo. Viongozi wa Simba Mtuambie kama Hamtaki hili Kombe la Ligi mseme. Sio kwa Ujinga Huu
Liwalooo na liweee
 
Back
Top Bottom