Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Walima mpunga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Homa za vipindiGreatest Of All Time unamuona Kibu?
🔥Game on....
We jamaa mara hii tu[emoji16].Baleke mmoja sawa na Mayele, Musonda na Aziz Ki kama kifungashio
Sawa 😁Hii ndiyo ihefu ninayoijua sio ile ya sikuile walipewa pocket money (bahasha)
Yanga utacheza naye tarehe 16[emoji28].89' Ihefu & Yanga 0-2 Simba
Nenda na wakati we jamaa,mbona unapitwa na wakati. Hapa mjini kuna BalekeWe jamaa mara hii tu[emoji16].
Umeshasahau kibu denis ulimtabiria hivi hivi.
Miracle89' Ihefu & Yanga 0-2 Simba
Bado unatafuta alipo, au umeshamuona? 😁 *****wapi the goal mashine, jean baleke...?
Sio kibu tena?[emoji28]Nenda na wakati we jamaa,mbona unapitwa na wakati. Hapa mjini kuna Baleke
Amefanya yake try mkuuwapi the goal mashine, jean baleke...?
Mamluki hawanaga urafiki wa kudumuAcha wapigwe tu Wapuuzi hawa