FT: Ihefu FC 0-2 Simba Sc | NBC Premier League | Highland Estates Stadium | 10.04.2023

Alaaaaaa
 
Baleke leo kafunga goli tatu..mbili na moja ya nyongeza...yaani Lumbesa
 
Hivi kuna mtu zaidi yangu amewahi kuwaza, kwa nini ratiba ya ligi na ya FA kwa muda mrefu sasa imewekwa Simba anacheza simu moja kabla ya Yanga na si kinyume chake? Hii ina manufaa kwa timu ipi?
Ina manufaa KWA Yanga ili ajipange kupata ushindi. Anakuwa anajua kasi ya Simba na kujipanga.

Mkiti wa bodi ya ligi Ni Yanga Lia Lia yule Mzee.
 
Si kweli unaongea vitu usivyovijua.

Kila wiki Kuna mechi za CAF.

Ratiba ya kuibeba Yanga. Siyo bahati mbaya.
 
Lakini Yacouba alikuwa bora sana ila yule dogo aliyesimama pale golini alikuwa jini
Mashuti mengi ni off target first half,ni ile diving header tu ndiyo ilikuwa hatari.....ila Golikipa namba tatu yule ni hazina Kwa Taifa asipotezwe
 
Si kweli unaongea vitu usivyovijua.

Kila wiki Kuna mechi za CAF.

Ratiba ya kuibeba Yanga. Siyo bahati mbaya.
Jamaa alichokisema ni sahihi. Kabla ya michuano ya ya CAF hatua ya makundi kuanza, Timu ya Yanga ilikuwa ndio inatanggulia kucheza michezo yake kisha siku inayofuata ndio Simba inacheza. Na michezo mingi alikuwa anatangulia Yanga ila ratiba imekuja kubadilika kutokana na ratiba ya CAF inaanza kucheza CAFCL kisha siku inafuata CAFCC hivyo Simba ikabidi itangulie kucheza michezo yake ya ndani kisha ifatie Yanga ili timu zote ziwe na gap sawa ya muda wa mapumziko.View attachment 2583780View attachment 2583781
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…