ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Naunga mkono hojaHii ni dharau kubwa sanaaaa
Una hoja mkuu...Nina Wasiwasi na Kikosi Cha Simba. Niwe Muwazi
Ihefu hata uwafunge 20 kwako. Uwanja wake wa Nyumbani sio Wa Kuwadharau.
Yanga walidharau Ihefu wakafa pale. Azam waliwadharau Wakafa pale. Leo simba Mechi muhimu kama Hii anaingia na Kikosi cha Kuwadharau Ihefu kisa Mechi ya Mwisho alishinda 5
Mechi wakiboronga hakuna hata Sub ya Kuingia kubadirisha Matokeo. Viongozi wa Simba Mtuambie kama Hamtaki hili Kombe la Ligi mseme. Sio kwa Ujinga Huu
Naona tayari Mnyama amekubali bingwa wa NBC Premiere League 22/23 ni Young Africans.
Ina manufaa kwa yangaHivi kuna mtu zaidi yangu amewahi kuwaza, kwa nini ratiba ya ligi na ya FA kwa muda mrefu sasa imewekwa Simba anacheza simu moja kabla ya Yanga na si kinyume chake? Hii ina manufaa kwa timu ipi?
Nakazia.Hii ni dharau kubwa sanaaaa
Hivi kuna mtu zaidi yangu amewahi kuwaza, kwa nini ratiba ya ligi na ya FA kwa muda mrefu sasa imewekwa Simba anacheza simu moja kabla ya Yanga na si kinyume chake? Hii ina manufaa kwa timu ipi?
Majeruhi wengi tuliwapata kwenye mechi ya mwishoNaunga mkono hoja
Kwahiyo hao sio wachezaji wa simba? Kwahiyo walipwe mishahara ya bure?Nina Wasiwasi na Kikosi Cha Simba. Niwe Muwazi