mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Mwamuzi anawatafutia Simba goli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naskia bocco anataka kuua kapama huko,sijui wana bifu la chini chini[emoji28][emoji28]Naona wachezaji wenu wanapigana vichwa hapa! [emoji2]
Kapama aliingia alipotoka sawadogo hawezi kutoka Tena.Sioni anachofanya KAPAMA..
SAKHO aweza kupumzika
Hatimaye limepatikana.Mwamuzi anawatafutia Simba goli
sheria za soka la wapi?Kapama aliingia alipotoka sawadogo hawezi kutoka Tena.
Tafutiwa na weweMwamuzi anawatafutia Simba goli
We lalamika tuu utajua mwenyeweMalengo ya mwamuzi yametimia
Nakazia TuWanasimba tumetapakaa dunia mzima
Malengo ya mwamuzi yametimia