Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Wetu yupi? Mimi nazungumzia general process ya mchezo wa soka, si lazima awe Diara. Kuna mechi ya Wydad vs Gallax, golikipa wa Galaxy alikuwa nyota wa mchezo kwa kufanya saves 9, akapata alama 10 kati ya 10Ndio maana ya kua golikipa bora sio wenu kila ikilengwa golini imo