Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Khalid AuchoYupo chini the tank
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khalid AuchoYupo chini the tank
Max njeGuede ndani
Mzize outPacome ndani
Sawa lakini wewe timu huna hoja Gani yaani nijibu hoja kwa shabiki wa timu mbovu ambayo imetoa Raha mara mbili kwa Yanga SCUngejibu hoja walau ningekuona ulimaliza kidato cha nne, hukukatiza masomo
Ihefu imeshakutana na Simba mara nyingi na haijawahi kutoka na ushindi, ila imeshaipiga Yanga mara nyingi nyingiAngekuwa ayubu hili goli
Wewe roho inakuuma na utateseka sana na timu yako mbovu ongea yote uwone ndio maana rage alikuwa sahihi kuhusu nyinyi makoloNdio tatizo la kuanza kushabikia soka kipindi Haji Manara amekuwa msemaji wa klabu
Yanga bingwa wewe wa tatu hivi uwoni aibu kolozidadIhefu imeshakutana na Simba mara nyingi na haijawahi kutoka na ushindi, ila imeshaipiga Yanga mara nyingi nyingi
Kama vile umepanic, kunywa energy baridi. Chagua mwenyewe Azam Energy au Mo EnergyWewe roho inakuuma na utateseka sana na timu yako mbovu ongea yote uwone ndio maana rage alikuwa sahihi kuhusu nyinyi makolo
Baada ya kupewa ukweli, hapa mnaangalia mpira kinafiki tu baada ya dhana yenu wanasimba kwenda hovyoWakati mwingine muwe mnazungumzia soka, sio kila jambo unaliwekea tafsiri ya unazi
Ngoja nimalizie kufanya codes huku. Mtaniambia idadi ya saves zilifika ngapi. Ninalog out kwa sasaYanga bingwa wewe wa tatu hivi uwoni aibu kolozidad