FT: Ihefu SC 0-1 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Sheikh Amri Abeid , Arusha | 19.05.2024

Ndio maana ya kua golikipa bora sio wenu kila ikilengwa golini imo
Wetu yupi? Mimi nazungumzia general process ya mchezo wa soka, si lazima awe Diara. Kuna mechi ya Wydad vs Gallax, golikipa wa Galaxy alikuwa nyota wa mchezo kwa kufanya saves 9, akapata alama 10 kati ya 10
 
Walinzi wa Ihefu wako makini zaidi ya umakini wenyewe
 
Ukiona golikipa wa timu anafanya saves nyingi, kwa lugha nyingine ni kwamba timu hiyo inashambuliwa hadi kipa anafikiwa mara kwa mara
Ndio lakini sisi ni mabingwa wewe ni wa tatu 😂
 
Naona Ihefu wamewafurahisha, ile dhana yenu ya Ihefu kuiachia Yanga mmeumbuka nayo.
Wakati mwingine muwe mnazungumzia soka, sio kila jambo unaliwekea tafsiri ya unazi
 
Game inaendelea bado milango ni migumu kwa pande zote mbili
 
IHEFU Anapita fainali

Huu n mkakati wa kumuachia Ihefu abebe ichi kikombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…