FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

SIMBA ifanye nne kama ndio inamtegemea striker KIBU ...mechi nyingi tu jana goli..na FRED wake tu
 
Kuna kitu hakipo Sawa Simba, Kwa mara ya Kwanza Leo namuona shabiki wa Simba anashangilia goli la Ihefu.

Tarehe 20 kuna tetemeko la ardhi litatokea kwahili ninaloliona hapa.
 
Attachments

  • 1713016192451.png
    1713016192451.png
    1 MB · Views: 2
Back
Top Bottom