FT: Ivory Coast 1-2 Norway | World Cup 2026 | AT&T Stadium | 30 Juni, 2026 | Ivory Coast waaga mashindano

Waafrika weusi hatuko serious, kuna mchezaji wa zamani sijui ni wa Serbia alisema majuzi kuwa wachezaji weusi pindi muda unapozidi kwenda uwanjani ndio wanavyopoteza umakini...

Kocha naye amekariri Tu, kumuacha Pepe uwanjani ni ukichaa Tu, Toa Pepe weka Amad, Amad awe anatambaa pembeni, Amad hawezi kucheza kwingine zaidi ya Pembeni. Lacks of Urgency , mpira sikuhizi umekuwa too boring...

Mimi sio mshabiki wa Morocco lakini nawapa pongezi kwasababu bado Wana zile elements za mpira wa kiarabu wa Afrika Kaskazini licha ya kwamba wachezaji wao wanacheza Ulaya but still Wana ule uharaka wa kucheza, kufanya maamuzi ,kutokukosea Kila mara, kutimiza majukumu Kwa wakati...
 
Kuongea ni rahisi, issue ni kutenda
Ndiyo maana Serbia hata hawakufuzu
 
Waafrika weusi hatuko serious, kuna mchezaji wa zamani sijui ni wa Serbia alisema majuzi kuwa wachezaji weusi pindi muda unapozidi kwenda uwanjani ndio wanavyopoteza umakini...

Kocha naye amekariri Tu, kumuacha Pepe uwanjani ni ukichaa Tu, Toa Pepe weka Amad, Amad awe anatambaa pembeni, Amad hawezi kucheza kwingine zaidi ya Pembeni. Lacks of Urgency , mpira sikuhizi umekuwa too boring...

Mimi sio mshabiki wa Morocco lakini nawapa pongezi kwasababu bado Wana zile elements za mpira wa kiarabu wa Afrika Kaskazini licha ya kwamba wachezaji wao wanacheza Ulaya but still Wana ule uharaka wa kucheza, kufanya maamuzi ,kutokukosea Kila mara, kutimiza majukumu Kwa wakati...
Right on point

Na ukiwa na mentality ya wamoroko kwenye hustle zako za Kila siku hata kutoboa kimaisha ni kugusa tu

Respect to moroccans
 
Mtu mweusi muachie tu kuiba kura, atafanya magumashi hadi kuonyesha amepata asilimia 98 ya kura zote bila hata uchaguzi kufanyika 😛😛😛😛
 
Back
Top Bottom