FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | Meja Generali Isamuhyo stadium | Ligi kuu NBC | 10.2.2025

Kuwa na kocha mpya ndio shida yake ndio hiyo anawapa nafasi hadi magalasa Musonda. Musonda anachokifanya humu ana kijua mwenyewe sijui kaambiwa na kocha aje atafute kadi nyekundu maana ana paramia tu wachezaji hana la maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…