makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,089
- 4,086
Lol 🤣🤣Usikose Mrs Chasambi 😂
Tulia Princess👸JKT kama wamezidi uwanjani
Kila mahala wapo
Poleni sana uto kazi mnayo leo haahNgoja tuone, ila mabadiliko ya benchi la ufundi yanayofanywa na Yanga kipuuzi ni dharau kwa mpira wa miguu
80Dakika.ya ngapi
80Dakika.ya ngapi
Sasa viongozi wafanyeje wakati kocha amekimbilia mpunga mrefu?Ngoja tuone, ila mabadiliko ya benchi la ufundi yanayofanywa na Yanga kipuuzi ni dharau kwa mpira wa miguu
Hata kinyesi atoe tuuu si mnataka marefa wawe hawapendeleiirefa anataka hadi wamtoa damu max
NakaziaDakika ya ngap!!!
Kwamba?Mnaongalia mpira..nani muanzilishi wa mashambulizi kuelekea lango la mpinzani...hapa namaanisha timu ya Yanga? aise mimi ni Yanga ila timu siilewi hapa naamini Ramovick alikuwa sahihi.
Kocha alikua analipwa milioni 10,na kushonewa Suti mpya na sheria Ngowi ya kila Mechi😂😂😂Sasa viongozi wafanyeje wakati kocha amekimbilia mpunga mrefu?