Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Heeee sema kweli bibieMpira uishe mana hamna cha maana
nani muanzilish wa mashambuliziKwamba?
Kwa kamdomo waliko nako zisepe tu utatafuta zingineWangese wahwa wanataka sepa na laki mbili zangu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Angalia coment yangu post namba 2 kabisa juuuLeo hakuna cha dk za Asubui wala za Jioni ni mikazo mwanzo mwisho
Bado hujasema na za mwamuzi...Duke in , 86'
Papara na khofuDuke ndiyo nani sasa kwenye Yanga??
Heeee sema kweli bibie
Tulia mkuu hata mm Simba alisepa na hamsini yangu, ila wewe laki mbili ukaifuata odds 1.36 una moyo mkuuWangese wahwa wanataka sepa na laki mbili zangu πππππ
Pole mkuu π€£π€£π€£Wangese wahwa wanataka sepa na laki mbili zangu πππππ
Wanaongeza au wanaongoza?Wanaongeza 6'
Kweli JKT wanachelewa kukojoa kumbeSi hamna goli tunapotezeana muda tu