Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Tutawasha taaRefa tafadhali maliza mpira huoni giza limeanza kuingia?
Upo vizuriAngalia coment yangu post namba 2 kabisa juuu
Lucky DubeDah Dube
Mimi ni Yanga pure ila tuseme ukweli. GSM na Eng Hersi wanaharibu mpira wa Tanzania.Huu ubingwa waipe Simba tuu
Mpumelelo..Lucky Dube
Njama za refaMbona haushi tuu
Asa mtu afunge kakabwa vileDah Dube
Kwanini mkuuUto bwana wanafurahisha
Avatar yako ina reflect ulichosema. Hujui chochoteNi muda sasa wa kumpumzisha Chasambi.