FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | Meja Generali Isamuhyo stadium | Ligi kuu NBC | 10.2.2025

Kamdomo ketu wanayanga baada ya mai wetu kulazimishwa sale na Fountain Gate ndiko kametuponza. Yaana wasahambuliaji wetu walikuwa wakifika golini wanaishiwa nguvu. Tumefika golini mara nyingi sans lakini miguu wa washambuliaji ikawa inakuwa mizto kwenye kumalizia
 
Mbona umeutelekeza uzi wako
 
Mtakuwa mulilogwa.
 
Hivi kwanini simba tusiombe uwanja wa jkt ndio uwe wa nyumbani
 
Huu uzi unashukaje kizembe,nimejitolea kuendelea nao kila unaposhuka ili uwe juu
 
Nimeangalia goal live bodo inasoma 0-0 Ina maana match haijaisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…