kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Naliona kbs Goli hapo...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda tuongeze umakiniNaliona kbs Goli hapo...!
Ni moja wapo ya timu ambayo kwa mtazamo wangu haikustahili kufika hapa ilipo, na imefika hapa kutokana na uzembe walioufanya Orlando Pirates.... kwenye preliminary stage Ile game ya kwanza Pirates eti walipunzisha wachezaji wao muhimu sababu ya game ya Ligi iliyokuwa mbele yao dhidi ya Sundowns, matokeo yake wakafungwa, halafu game ya pili majamaa yaka watoa kwa matuta.Basi umemaliza shughuli, hawa jwaneng ni timu ya kawaida tu.
Ndio tuwafunhe sasa tuache longolongoNi moja wapo ya timu ambayo kwa mtazamo wangu haikustahili kufika hapa ilipo, na imefika hapa kutokana na uzembe walioufanya Orlando Pirates.... kwenye preliminary stage Ile game ya kwanza Pirates eti walipunzisha wachezaji wao muhimu sababu ya game ya Ligi iliyokuwa mbele yao dhidi ya Sundowns, matokeo yake wakafungwa, halafu game ya pili majamaa yaka watoa kwa matuta.
Imagine sasa hivi tungekuwa tunaangalia mechi ya Simba vs Pirates na sio hawa washamba wanaotegema kubaki basi tu na kufunga magoli ya kuvizia vizia.
Wafungeni sasaNi moja wapo ya timu ambayo kwa mtazamo wangu haikustahili kufika hapa ilipo, na imefika hapa kutokana na uzembe walioufanya Orlando Pirates.... kwenye preliminary stage Ile game ya kwanza Pirates eti walipunzisha wachezaji wao muhimu sababu ya game ya Ligi iliyokuwa mbele yao dhidi ya Sundowns, matokeo yake wakafungwa, halafu game ya pili majamaa yaka watoa kwa matuta.
Imagine sasa hivi tungekuwa tunaangalia mechi ya Simba vs Pirates na sio hawa washamba wanaotegema kubaki basi tu na kufunga magoli ya kuvizia vizia.
Wapewe pongezi zao tu sababu timu inayoatahili kuvuka ni ile inayokusanya point na wamefanya hivyo halafu wanaendelea kufanya.Ni moja wapo ya timu ambayo kwa mtazamo wangu haikustahili kufika hapa ilipo, na imefika hapa kutokana na uzembe walioufanya Orlando Pirates.... kwenye preliminary stage Ile game ya kwanza Pirates eti walipunzisha wachezaji wao muhimu sababu ya game ya Ligi iliyokuwa mbele yao dhidi ya Sundowns, matokeo yake wakafungwa, halafu game ya pili majamaa yaka watoa kwa matuta.
Imagine sasa hivi tungekuwa tunaangalia mechi ya Simba vs Pirates na sio hawa washamba wanaotegema kubaki basi tu na kufunga magoli ya kuvizia vizia.
Naona tushukuru tunacheza na hawa washamba ... kwasababu hao Pirates wangetunyoosha..Ni moja wapo ya timu ambayo kwa mtazamo wangu haikustahili kufika hapa ilipo, na imefika hapa kutokana na uzembe walioufanya Orlando Pirates.... kwenye preliminary stage Ile game ya kwanza Pirates eti walipunzisha wachezaji wao muhimu sababu ya game ya Ligi iliyokuwa mbele yao dhidi ya Sundowns, matokeo yake wakafungwa, halafu game ya pili majamaa yaka watoa kwa matuta.
Imagine sasa hivi tungekuwa tunaangalia mechi ya Simba vs Pirates na sio hawa washamba wanaotegema kubaki basi tu na kufunga magoli ya kuvizia vizia.
Ukiona goal basi ujue simba kafunga..Goooooaaaaaaaaal
Ngoja tuoneHii hata mimi imenishtua
Lakini ndio maono ya kocha