FT: Jwaneng Galaxy 0 - 0 Simba | CAFCL | Francistown Stadium | 02.12.2023

FT: Jwaneng Galaxy 0 - 0 Simba | CAFCL | Francistown Stadium | 02.12.2023

Hata hiyo mechi ya waydad sio kwamba walicheza vizuri, hapana walicheza mpira wa ovyo tu(ant-football playing style) kama huu unao uona hapa... Maana waydad walishambulia sana sema hawakuwa clinical kwenye finishing, watu walipigiwa Kona 14 kwa 1, mashuti 11 kwa 1...

Kwanza hata like goli lenyewe walilofunga kwenye hiyo mechi ya waydad ni kosa la kizembe sana la beki, alikuwa anarudisha mpira kwa kipa mshambuliaji wa jangwena akakitana nayo....
Basi umemaliza shughuli, hawa jwaneng ni timu ya kawaida tu.
 
Back
Top Bottom