Hata hiyo mechi ya waydad sio kwamba walicheza vizuri, hapana walicheza mpira wa ovyo tu(ant-football playing style) kama huu unao uona hapa... Maana waydad walishambulia sana sema hawakuwa clinical kwenye finishing, watu walipigiwa Kona 14 kwa 1, mashuti 11 kwa 1...Sikutizama game hiyo, siwezi kuhukumu, nasema nikionacho, jwanenga wanacheza hovyo, ahida ni simba nasi tunacheza hovyo tunashindwa kuwaadhibu kwa makosa yao.
Kwanza hata like goli lenyewe walilofunga kwenye hiyo mechi ya waydad ni kosa la kizembe sana la beki, alikuwa anarudisha mpira kwa kipa mshambuliaji wa jangwena akakitana nayo....