FT: Jwaneng Galaxy 0 - 0 Simba | CAFCL | Francistown Stadium | 02.12.2023

FT: Jwaneng Galaxy 0 - 0 Simba | CAFCL | Francistown Stadium | 02.12.2023

Sikutizama game hiyo, siwezi kuhukumu, nasema nikionacho, jwanenga wanacheza hovyo, ahida ni simba nasi tunacheza hovyo tunashindwa kuwaadhibu kwa makosa yao.
Hata hiyo mechi ya waydad sio kwamba walicheza vizuri, hapana walicheza mpira wa ovyo tu(ant-football playing style) kama huu unao uona hapa... Maana waydad walishambulia sana sema hawakuwa clinical kwenye finishing, watu walipigiwa Kona 14 kwa 1, mashuti 11 kwa 1...

Kwanza hata like goli lenyewe walilofunga kwenye hiyo mechi ya waydad ni kosa la kizembe sana la beki, alikuwa anarudisha mpira kwa kipa mshambuliaji wa jangwena akakitana nayo....
 
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣watani zangu forward zenu mbona zinazingua🤣🤣🤣🤣
 
Hakuna njia kabisa. Jamaa wanajua kukaba njia.
 
Niko jirani ja kibamdq umiza nasikia tu miguno aahh, aanhh
Kwani nini kinaendelea huko
 
Hawa jamaa tumewazidi tunawqchezea nusu uwanja ila wamaliziaji na watu wa kutengeneza magoli ndo hakuna
 
Back
Top Bottom