FT: Jwaneng Galaxy 0 - 0 Simba | CAFCL | Francistown Stadium | 02.12.2023

πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nenda mkajifariji na maoni ya wachezaji wa Al Ahly na viongozi kuwa Makolo ni dude fulani kubwa hivi ,maana ndio slushindi na kombe lenu lililobaki.

Poor Makoloz...
 
Unacheka nini sasa...hivi una nguvu za kucheka kweli?.droo tena away..nyie mlipondwa 3 kwa sufurii
 
Kikosi cha kwanza cha simba kuna mizigo mingi sana wakiongozwa na onana.
 
Nenda mkajifariji na maoni ya wachezaji wa Al Ahly na viongozi kuwa Makolo ni dude fulani kubwa hivi ,maana ndio slushindi na kombe lenu lililobaki.

Poor Makoloz...
Wale watani zetu hawajawahi kuwa waongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…