FT: Jwaneng Galaxy 0 - 0 Simba | CAFCL | Francistown Stadium | 02.12.2023

FT: Jwaneng Galaxy 0 - 0 Simba | CAFCL | Francistown Stadium | 02.12.2023

Mbona inaongeza kundi na wenye quality hawapo kileleni ?..

Mpira ni matokeo.
Hii siwez jibu asaivi mpaka mechi zote ziishe, kwenye kufuzu world cup 2022 Tanzania tuliongoza hadi kundi mechi 2 za mwanzo ila baada ya hapo si ndio tukawa wa mwisho
 
Mkuu, ulitaka hao galaxy wafanyaje na wameingia kwenye makundi?
Siwezi kukwambia wafanye hivi au wafanye vile... Ila tu ni kwamba hawa wamefika hapa kutokana na ubovu na uzembe wa timu walizokutana nazo hapo awali, na kama tunawapa pongesi basi tunawapa kutokana na ubutu wa forward za timu pinzani walizokutana nazo.
 
Back
Top Bottom