FT: Jwaneng Galaxy 0 - 0 Simba | CAFCL | Francistown Stadium | 02.12.2023

Simba ipo nafasi ya 2 ili kupita hao waliopo chini yake awafunge na huyu akija kwa mkapa akandwe.
 
Tatizo kwamba Makolo yanalaumu viongozi na kuanza kupigana yenyewe .

Hapo ndipo naamini kuwa Makolo maana yake kuwa ni majitu yasiyo na akili.
Kumbe kuna watu pande hizo wanapigana?.
Itakua mmewaambukiza upungufu wa akili..
Ma utopwile nyie...
 
Kwangu naona kuna 'Positives' nyingi kwa Simba leo kulinganisha na mechi iliyopita japokuwa timu haijafanikiwa kushinda mechi.

Atleast wachezaji leo wamejitutumua japokuwa kulikosekana utulivu tu.

Imani yangu, timu itatulia vyema kabisa na ukizingatia dirisha dogo linakarbia.
 
Leo nme amini Zile 5 hatukurogwa wala kuhujumiwa
 
Ukiwa na imani japo kwa kiwango kama hiki hakika unaweza kuuambia mlima ng'oka na ukaangukia baharini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…