koboG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 2,763
- 5,167
Hatuna huo mdaNa nyie tumieni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuna huo mdaNa nyie tumieni
Na 🐸Kweli nimeamini Simba ni ushuzi wa bata
Tulieni sasa na sare zenuHatuna huo mda
Kwa nini mnateseka kwa Simba kutoa draw?Kweli nimeamini Simba ni ushuzi wa bata
AaahaaaaHadi hapa tumeshashinda dhidi ya Al Ahly.
View attachment 2831562
Da Zuu msema kweliItoshe kusema Simba Msimu huu Hatuna Timu ya Ushindani kamwe
Kumbe kuna watu pande hizo wanapigana?.Tatizo kwamba Makolo yanalaumu viongozi na kuanza kupigana yenyewe .
Hapo ndipo naamini kuwa Makolo maana yake kuwa ni majitu yasiyo na akili.
Tuna mechi moja tu. Ya pili ndio hiyo saa moja subiri uone mzikiKwa nini mnateseka kwa Simba kutoa draw?
Mwiko nyuma hawana hata point moja kwa nini usiumie kwa ajili yao?
Hakuna kitu hapo tusidanganyaneMpira umerudi kwa wenye mpira...sasa tumeanza kuona tofauti
Mlipata point ngapi kwa hiyo mechi moja?Tuna mechi moja tu
Ukiwa na imani japo kwa kiwango kama hiki hakika unaweza kuuambia mlima ng'oka na ukaangukia bahariniKwangu naona kuna 'Positives' nyingi kwa Simba leo kulinganisha na mechi iliyopita japokuwa timu haijafanikiwa kushinda mechi.
Atleast wachezaji leo wamejitutumua japokuwa kulikosekana utulivu tu.
Imani yangu, timu itatulia vyema kabisa na ukizingatia dirisha dogo linakarbia.
At least itatupunguzia maumivuHya tuamia uzi wa Al ahly tuone anavyomkanda Yanga akiwa kwao