Kiungopunda
JF-Expert Member
- Oct 24, 2023
- 1,349
- 3,145
Haipo hapo, ila mimi nimekulia Gaborone so nimewakumbuka wanangu tu.Hivi Francistown Stadium iko Gaborone?
Aaahaaaasπ€£π€£π€£kila la heri mnyamaView attachment 2831291
Weee uzuri wako shabiki wa kweli...ebu tupia picha upo na jersey yakoSimba nguvu moja...leo moyo wangu una imani tutachukua point 3...
Viva Simbaaaa....
Nguvu unazo
Na iwe sawa pia na kwa wapinzani wenuBest wishes jwaneng
Alhamndulilah!Natabiri jwaneng 1~2 simba, yanga 0-1 al ahly....kila laheri timu zetu za tanzania!