FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

Kwa kiwango hiki cha Makolo mwaka huu watapigwa na Yanga mara nne, 1.Ligi Mara mbili
2. FA
3. Mapinduzi
Nyie nyani wa pori la Utopolo mnachoweza ni kwenda kuwapokea wapinzani wetu na so zaidi ya hapo
IMG-20211017-WA0008.jpg
 
habari zenu tunazo mmewavizia wabotswana haraka haraka kama ngumi za tyson

na nimeona kocha wao akihojiwa anasema mmbebwa na refarii

nyie mikia kwenye makundi mnashika mikia kama mikia jina lenu tukione kikosi chenu kipana kilichopanuka sana sehemu za nyuma kwa sasa

yaaan timu mbooooooooooooooovu sana msiombe mkutane na yanga kwa sasa ombeeni hivo siku zisogeee moto wetu labda utapungua

Nyamizi Kavirondo Nyonzo bin mvule
 
Du

duuh!Pole😅😅😅
 
Simba iliwapiga hao Galaxy haraka gol 2.
Ni kuwa iliwaonea huruma tu kwa sbb ya makili kili.
Ika upooza mchezo.
La sivyo tungetia gol kumi 10 bila kitu.
Kocha wao anaishukuru Simba kwa huruma walio ionesha.

Wewe Utopopo ni nani kwanza ?
Unacheza ligi gani kwanza ?
Utopolo ni matope. toka lini matope yaka thaminiwa.
 
habari zenu tunazo mmewavizia wabotswana haraka haraka kama ngumi za tyson

na nimeona kocha wao akihojiwa anasema mmbebwa na refarii

nyie mikia kwenye makundi mnashika mikia kama mikia jina lenu tukione kikosi chenu kipana kilichopanuka sana sehemu za nyuma kwa sasa

yaaan timu mbooooooooooooooovu sana msiombe mkutane na yanga kwa sasa ombeeni hivo siku zisogeee moto wetu labda utapungua

Nyamizi Kavirondo Nyonzo bin mvule
Unateseka ukiwa wapi ww nyani fc

F8BFC819-00D7-4807-8B3D-E8B2B05A8F3B.png
 
Back
Top Bottom