FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

Simba ni weak kwa Tp mazembe, Yanga na Biashara na ndio hizo mkapigwa ila huko kwa Galaxy ni kupiga Bomu mochari na kujisifu umeua
Ina na nyie ni weak kwa wanaijeria [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ligi yao Botswana ina bingwa wa 2019-2020
2020-2021-Ligi haikuchezwa
2021-2022-Haijaanza kabisa

No research, No right to speak
Acha kutuona mafala basi ndo unajifarijili sio
 
Timu mbovu hata ipambane vipi haiwezi kubadilika, kwani ubovu wenu umeanza kwenye mechi ya jana tu

Ubovu wenu umeanza tangu mechi za pre season mlipotoa sare zote na vitimu vya kawaida kabisa, mkaja simba day Tp mazembe wakapata vumbi la congo na wakawapiga kimoja, mkaja kwenye Ngao ya hisani likatumika tena vumbi la Congo na tukajilia vyetu wanaume, mkaja kwa wanajeshi wa mpakani kichura chura kikahusika na kupona tundu la sindano, mkaja kwa Dodoma Jiji bila zile chupli chupli shughuli yenu ilikuwa imeisha

Yaani kwa Jwaneng ni sawa kupiga Bomu mochwari na kujisifu umeua
Wewe ni kama mtu aliekata tamaa yani kwa sbb tulitoka droo au kufungwa ndo inakupa uhalali wa kusema timu mbovu bado hujanishawishi. Inamana timu kama barcelona ikitoka droo au kufungwa unaitoa kwny ubora wake? Wewe tulia unywe kahawa ukipiga soga. Msimu ndo kwaaaanza umeanza
 
Tulia unatia aibu. Yani roho inakutoka badala uwaambie timu yako wajitahidi msimu ujao kama watafuzu any way. Achana na Simba kaka utapata stress ushindwe kumpa haki yake wifi yetu. Simba ni ingine mzee baba. Mnaposema timu mbovu mnaamsha ari ya kupambana nyie endeleeni tuu mwisho wa siku msitafute mchawi.
Wameanza sijui marefa wa Caf ni simba
 
Watakuwa wazee wa nyeto ni bao moja moja tu
Poor them. Kwa sbb ubora ni pamoja na kuweza kumiliki mpira muda mrefu na zaidi ya yote kuweka magoli mengi nyavuni. Sasa huo ubora wa utopolo toka msimu umeanza ni goli moja chaliii so hawanaa mbinu za kiufungaji?.
 
Ndiyo utaratibu wa mashindano yote, timu kubwa huwa zinakutana na weak opponent ili mwishoni zikutane kubwa kubwa
Unabishana na utopolo kabsaa, acha kuumiza akili kiongozi hao ndivyo walivyo hawaelewi chochote, tuliwapiga Vita lakini walidai ni mbovu, tukawapiga Alhyl ya misri wakadai ni mbovu, emu acha kusumbuka
 
Wameanza sijui marefa wa Caf ni simba
Wanajitia aibu tuu kwakweli ni bora wanyamaze. Basi na wao watafute hela wahonge kama kuhonga ni kunywa uji. Au kama Barbra ndo anahonga papuchi na wao watafute CEO mkalii waanze kupata bonus. Kikubwa ushindi kama ndivyo wanavyohisi.
 
Ligi yao Botswana ina bingwa wa 2019-2020
2020-2021-Ligi haikuchezwa
2021-2022-Haijaanza kabisa

No research, No right to speak
Huwez kua na mwakilishi kama hakukua na mashindano
 
Wewe ni kama mtu aliekata tamaa yani kwa sbb tulitoka droo au kufungwa ndo inakupa uhalali wa kusema timu mbovu bado hujanishawishi. Inamana timu kama barcelona ikitoka droo au kufungwa unaitoa kwny ubora wake? Wewe tulia unywe kahawa ukipiga soga. Msimu ndo kwaaaanza umeanza
Huwezi kuwa bora miaka yote, timu mbovu inaonekana inapocheza uwanjani

Endeleeni kulishwa matango pori nyie makolo bwenzi
 
No research, U have no right to write anything
Sasa kama hawajacheza muda mrf ndo wangeonyesha kiu ya kucheza. By the way unawadharau ile timu wakati wamecheza mpira mzuri tuu hata Yanga hamuoni ndani kwao
 
Back
Top Bottom