FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

Simba ni weak kwa Tp mazembe, Yanga na Biashara na ndio hizo mkapigwa ila huko kwa Galaxy ni kupiga Bomu mochari na kujisifu umeua
Ina na nyie ni weak kwa wanaijeria [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ligi yao Botswana ina bingwa wa 2019-2020
2020-2021-Ligi haikuchezwa
2021-2022-Haijaanza kabisa

No research, No right to speak
Acha kutuona mafala basi ndo unajifarijili sio
 
Wewe ni kama mtu aliekata tamaa yani kwa sbb tulitoka droo au kufungwa ndo inakupa uhalali wa kusema timu mbovu bado hujanishawishi. Inamana timu kama barcelona ikitoka droo au kufungwa unaitoa kwny ubora wake? Wewe tulia unywe kahawa ukipiga soga. Msimu ndo kwaaaanza umeanza
 
Wameanza sijui marefa wa Caf ni simba
 
Watakuwa wazee wa nyeto ni bao moja moja tu
Poor them. Kwa sbb ubora ni pamoja na kuweza kumiliki mpira muda mrefu na zaidi ya yote kuweka magoli mengi nyavuni. Sasa huo ubora wa utopolo toka msimu umeanza ni goli moja chaliii so hawanaa mbinu za kiufungaji?.
 
Ndiyo utaratibu wa mashindano yote, timu kubwa huwa zinakutana na weak opponent ili mwishoni zikutane kubwa kubwa
Unabishana na utopolo kabsaa, acha kuumiza akili kiongozi hao ndivyo walivyo hawaelewi chochote, tuliwapiga Vita lakini walidai ni mbovu, tukawapiga Alhyl ya misri wakadai ni mbovu, emu acha kusumbuka
 
Wameanza sijui marefa wa Caf ni simba
Wanajitia aibu tuu kwakweli ni bora wanyamaze. Basi na wao watafute hela wahonge kama kuhonga ni kunywa uji. Au kama Barbra ndo anahonga papuchi na wao watafute CEO mkalii waanze kupata bonus. Kikubwa ushindi kama ndivyo wanavyohisi.
 
Ligi yao Botswana ina bingwa wa 2019-2020
2020-2021-Ligi haikuchezwa
2021-2022-Haijaanza kabisa

No research, No right to speak
Huwez kua na mwakilishi kama hakukua na mashindano
 
Huwezi kuwa bora miaka yote, timu mbovu inaonekana inapocheza uwanjani

Endeleeni kulishwa matango pori nyie makolo bwenzi
 
Huwezi kuwa bora miaka yote, timu mbovu inaonekana inapocheza uwanjani

Endeleeni kulishwa matango pori nyie makolo bwenzi
Sasa Yanga ni bora? Wewe Chura fc,utopolo fc,
 
No research, U have no right to write anything
Sasa kama hawajacheza muda mrf ndo wangeonyesha kiu ya kucheza. By the way unawadharau ile timu wakati wamecheza mpira mzuri tuu hata Yanga hamuoni ndani kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…